Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara,
atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani
ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania
"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM Leo
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 28, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 28, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment