Waziri wa
Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuondoa katika ujumbe wa Sekretarieti ya Kuzuia
Biashara Haramu ya Binadamu,
Abubakar Yunusi ambaye ni Inspekta wa Polisi
Kitengo cha Uhamiaji
Lugola
amechukua uamuzi huo leo Julai 30, 2018 baada ya Yunusi kusema kuna vyombo
vilivyotumika kusafirisha binadamu vimekamatwa na vinasubiri kutaifishwa,
lakini hana takwimu
"Wewe
umejitambulisha mjumbe wa kamati ya kudhibiti usafirishwaji haramu wa binadamu,
umesema kuna vyombo vimetumika, huna idadi yake. Unafanya kazi ya ubabaishaji
hapa? Huwezi kuja kwenye maonyesho hujui idadi yake. Kazi yako ya ujumbe
hakuna," amesema
Lugola alikuwa
akikagua mabanda ya maonyesho katika Viwanja vya Mnazi Mmoja yanakofanyika
maadhimisho ya kupinga usafirishaji wa bindamu
Lugola amuondoa mjumbe wa polisi
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 30, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 30, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment