Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph
Mbilinyi (Sugu) ameitaka Serikali kuangalia upya baadhi ya sheria zake kwani ni
mbovu na hazifai kutumika kwa sasa Sugu aliuliza swali la nyongeza bungeni leo
Mei 21 na kusema kuwa kuna sheria ikiwemo sheria ya vyombo vya
habari ambazo
zinakwenda kinyume na katiba ya nchi ibara ya 18
“Mfano mimi nilif ungwa
kutokana na kuzungumza na wananchi wangu kuhusu watu kupigwa risasi, kuokota
maiti kwenye viroba na demokrasia ya nchi,” amesema Sugu
VIDEO:SWALI LA 1 LA SUGU BUNGENI BAADA YA KUTOKA GEREZANI
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 21, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 21, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment