TCRA yatoa leseni 45 za watoa huduma mitandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa leseni 45kwa watoa huduma wa maudhui mitandaoni

Akizungumza leo Ijumaa Mei 25, 2018 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kulaba amesema kulikuwa na waombaji wa leseni 262

Amesema waombaji 65 wametimiza vigezo kati yao 45 wamelipia na ndiyo waliopewa leseni leo

Kilaba amesema wanaendelea kupokea maombi na  wataendelea kutoa leseni kwa watakaotimiza vigezo

TCRA yatoa leseni 45 za watoa huduma mitandaoni TCRA yatoa leseni 45 za watoa huduma mitandaoni Reviewed by KUSAGANEWS on May 25, 2018 Rating: 5

No comments: