Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema
mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM) Abdul Nondo
amesimamishwa masomo ili kulindwa, asipoteza sifa za kuwa mwanafunzi wa chuo
hicho
Kusimamishwa chuo kwa Nondo, kuliibua mjadala mkali
wakati wa kuijadili bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakidai
hatua hiyo ni aibu kwa chuo hicho
Akijibu hoja hiyo leo Mei 2, 2018 bungeni mjini
Dodoma, Naibu Waziri wa wizara hiyo, William Ole Nasha amesema kwa kuwa Nondo
ana kesi kama akishinda anarejea chuoni na sheria inamlinda badala ya kumminya
asipoteze sifa
Serikali yanena kuhusu Abdul Nondo
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 02, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 02, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment