|
Rais wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli
ameagiza wakala wa Barabara TANROAD na wakala wa Barabara vijiji TARURA
kuanza maramoja ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kilolo hadi
Iringa yenye urefu wa kilomita 35 ili kuondoa kero ya ubovu miundombinu
wilayani humo
Rais Magufuli ametoa agizo hilo
baada ya kuweke jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kilolo
utakao gharimu zaidi ya shilingi Bilioni 4
|
|
|
Akizungumza na wananchi hao kwenye
mkutano wa hadhara Rais Magufuli pia ameagiza halmashauri zote nchini kutenga
mfuko maalumu wa dawa ili kuimarisha upatikanaji wa dawa kwenye hospitali za
wilaya
|
|
|
Kwapande wake Waziri wa TAMISEMI
Mhe. Selemani Jafo amesema serikali imetenga zaidi ya Shilingi Bilioni 105
kwaajili ya kujenga hospitali mpya 67
|
|
|
Naye Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi amekeme uuzaji holela wa ardhi wilayani
Kilolo huku Mkurugenzi wa halamshauri ya wilaya ya Kilolo Bwana. Aloys Kwezi
akibainisha kuwa ujenzi wa hospitali hiyo unalega kuondoa kero ya upatikanaji
wa huduma za afya wilayani humo
|
RAISI MAGUFULI ATOA MAAGIZO YA UJENZI WA BARABARA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 02, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 02, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment