Raisi Magufuli afany uteuzi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta . John Pombe Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA). 

 Kulinagana na taarifa iliyotolewa na idara ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam imesema uteuzi wa Bi. Khadija Issa Said umeanza leo tarehe 26 Mei .

 Kabla ya Uteuzi huo Bi. Khadija Issa Said alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Bima, Shirika la Bima Zanzibar.
Raisi Magufuli afany uteuzi Raisi Magufuli afany uteuzi Reviewed by KUSAGANEWS on May 26, 2018 Rating: 5

No comments: