|
Magari 10 na piki piki 27
vimekamatwa na jeshi la polisi mjini Bujumbura nchini Burundi.Msemaji wa
wizara ya usalama wa raia anafahamisha kwamba magari hayo ambao ni
mapya,yalio ingia nchini mwaka 2010 yalitarajiwa kutumiwa kuvuruga uchaguzi
wa kura ya maoni unaopangwa Mei 17 mwaka huyu.
Magari hayo yadaiwa kwamba
yaliagizwa nje ya nchi na aliekuwa kiongozi wa zamani wa chama tawala, El
Hadj Hussein Radjabu
Magari hayo na pikipiki hizo
vimekamatwa mtaani Rohero mjini Bujumbura ambapo yalikuwa yamefichwa tangu
mwaka 2010.
|
|
|
Msemaji wa Wizara ya Usalama na
Kulinda majanga anasema uchunguzi umeanzishwa ili kutambuliwe wale wote wanao
husika na njama hiyo ya kuvuruga uchaguzi wa kura ya maoni.
|
|
Pikipiki 27 na magari 10 yakamatwa na Polisi mjini Bujumbura.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 12, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 12, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment