Mkazi wa Tarime, Chacha Suguta (27), anayedaiwa kuuawa
kwa kuchomwa visu akiwa mikononi mwa polisi, anazikwa leo
Msemaji wa familia ya Suguta, Wegesa Suguta ameiambia
Mwananchi kuwa tayari mwili wa marehemu umewasili kijijini kwao Nyabitocho
wilayani Tarime
Suguta ambaye pia ni mdogo wa mbunge wa Tarime, John Heche,
alifariki dunia Aprili 27 baada ya kukamatwa na polisi akiwa baa
Ndugu wa mbunge Heche aliyeuawa mikononi mwa polisi, kuzikwa leo
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 03, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 03, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment