Kaseja aiongoza Kagera Sugar kuitibulia ya Simba Taifa


Timu ya Simba imekubali imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa leo Jumamosi

Simba imekubali kupoteza mchezo huo muhimu ambao imetibua rekodi yao ya kutokufungwa mechi iliyoshuhudiwa na Rais John Magufuli

Kagera Sugar imekuwa timu ya kwanza kuvunja rekodi ya Simba ya kutopoteza mchezo kwenye ligi msimu huu, ambapo mshambuliaji  Okwi alikosa penati  iliyopanguliwa na Juma Kaseja na kushindwa kuinusuru timu hiyo

Simba imekabidhiwa kombe la ubingwa la Ligi Kuu msimu wa 2017/18 na Rais John Magufuli

Kaseja aiongoza Kagera Sugar kuitibulia ya Simba Taifa Kaseja aiongoza Kagera Sugar kuitibulia ya Simba Taifa Reviewed by KUSAGANEWS on May 19, 2018 Rating: 5

No comments: