Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Frank Japhet mkazi wa Mbezi jijini Dar es salaam amejisalimisha katika kituo cha polisi Mlandizi mkoani Pwani baada ya kushindwa kuutua mzigo wa mahindi kilo 20 alioiba usiku wa kuamkia Leo.
Kijana huyo anadaiwa kumuibia mama mmoja majira ya saa 7 usiku ambapo baada ya kuiba alielekea stendi ya Mlandizi mkoani Pwani ambapo alipofika akashangaa mzigo huo hautoki.
Mpaka wakati huu kijana huyo yupo kituo cha polisi Mlandizi na mzigo huo kichwani akisubiri mwenye mzigo afike kwani tayari ameitwa na jeshi la polisi.

AIBA MZIGO WANG'ANG'ANIA KICHWANI.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 03, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 03, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment