Wakuu wa Idara wanne wawekwa ndani kwa kumdanganya Kiongozi wa Mbio za Mwenge

Nyang'hwale. Wakuu wanne wa idara ambao waliodaiwa kutoa taarifa zinazotofautiana za miradi ya Wilaya ya Nyang'hwale Mkoa wa Geita kwa kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Charles Kabeho wamewekwa rumande tangu jana mchana kwa mahojiano zaidi.

Wakuu hao ni wa idara ya elimu, kilimo, maji na maendeleo ya jamii ambao taarifa zao za fedha za miradi zilitofautiana na taarifa ya mkoa

Wakuu wa Idara wanne wawekwa ndani kwa kumdanganya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Wakuu wa Idara wanne wawekwa ndani kwa kumdanganya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Reviewed by KUSAGANEWS on April 05, 2018 Rating: 5

No comments: