Mtoto wa miaka
minne, Ashraf Hussein Hamad amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali
ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba ikidaiwa alikula chakula chenye sumu
Kamanda wa
polisi Kaskazini Pemba, Haji Khamis Haji amethibitisha kupokea taarifa za kifo
hicho na wengine wawili waliolazwa hospitalini baada ya kula chakula chenye
sumu
Naye daktari
wa zamu wodi ya watoto katika hospitali hiyo, Dk Badru Ali Badru alisema tukio
hilo lilitokea juzi
Dk Badru
alisema mtoto huyo na wenzake wawili walifikishwa hospitalini hapo wakiwa na
maumivu makali ya tumbo
Aliwata
wanapata huduma kuwa ni Akram Mohamed (6) na Mula Omar (4) ambao afya zao
zinaendelea kuimarika.
Mtoto mmoja afariki dunia, wawili walazwa baada ya kula chakula chenye sumu.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 30, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 30, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment