Mwanaharakati wa siasa Mtandaoni Mange Kimambi amemvaa Jokate
na kumtolea povu zito baada ya aliyekuwa mpenzi wake staa wa Bongo fleva Ali
Kiba kuoa mwanamke mwingine.
Asubuhi ya Leo Ali Kiba Kamuoa mke wake Amina huko Mombasa
nchini Kenya lakini Ex wake Jokate anashika headlines ambapo Mange amemjia
juu Jokate huku akimcheka kuhusu hilo.
Mange amekuwa akiipinga ndoa hii kufanyika hivi sasa kwa hofu
ya kwamba itazima haraka zake Lakini pia amekuwa katika vita na Jokate
kutokana na Jokate kuwa chama tawala na alikuwa kiongozi.
Mange amemtolea povu zito Jokate huku akihusisha ndoa ya Ali Kiba
ambapo kwenye ukurasa wa Instagram wa Jokate aliandika maneno haya:
|
|
Mange Amvaa Jokate Baada Ya Ali Kiba Kuoa Mwanamke Mwingin
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 19, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment