Watu sita wamefariki papo hapo na wengine
sita kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria kugongana na lori mjini Dodoma
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gillece
Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Machi 4, 2018 majira ya mchana
wakati daladala iliyokuwa na abiria zilipogongana na lori hilo
"Taarifa zaidi nitazitoa baada ya
kufuatilia lakini kwa ufupi ajali hiyo ipo na watu sita wamekufa na wengine
sita wapo katika hospitali ya rufaa ya mkoa na hali zao sio nzuri,"
amesema Muroto
WATU 6 WAFARIKI KWA AJALI DODOMA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 04, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment