Baada
ya kusambaa kwa Video ya
mchekeshaji kutokea Kenya Erick
Omondi video inayomuonesha akiwa anaogelea mtupu kwenye
bwawa la maji akiwa na watoto waliokuwa watupu kitu kilichochukuliwa kama
kuwazalilisha watoto hao, Erick Omondi ameomba radhi kwa hilo.
Erick Omondi ameomba radhi kwa kuandika kwenye
ukurasa wake wa Instagram baada ya kusambaa kwa video hiyo na kuandika…>>>“I have been a comedian all my life…
Many are the times that I have errored… Today was one of those days. I have
offended so many. I did not in any way intend to offend anyone…I AM DEEPLY
SORRY FOR THAT… 🙇♂️” – Erick Omondi
…..>>>“Nimekuwa
mchekeshaji maisha yangu yote … kuna siku uwa nafanya makosa… Leo hii ilikuwa
mojawapo ya siku hizo.Nimekosea watu wengi .. Sikuwa na nia yoyote ya
kumkosea yeyote … Samahani sana kwa hili” – Erick Omondi
Maneno ya Erick Omondi baada ya video aliyocheza utupu na watoto kusambaa
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 01, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment