DARALA LAKATIKA KWASABABU YA MVUA

Daraja la Kivule lililopo eneo la Sirari Wilaya ya Ilala limekatika kutokana na mvua zilizoanza kunyesha leo jijini Dar es Salaam

Gazeti hili limeshuhudia msururu wa watu wakishindwa kupita kwenye daraja hilo huku wakitafuta njia mbadala

Daraja hilo lilikatika baada ya kuzolewa na mvua kubwa iliyonyesha leo kuanzia asubuhi mpaka mchana.

Magari yote yanayoelekea Kivule yalishindwa kupita yakiwemo ya abiria yaliyolazimika kuishia Mwembeni. 
DARALA LAKATIKA KWASABABU YA MVUA DARALA LAKATIKA KWASABABU YA MVUA Reviewed by KUSAGANEWS on March 01, 2018 Rating: 5

No comments: