Halmashauri ya wilaya ya Babati kupitia baraza la madiwani limepitisha bajeti ya Sh milioni 400,kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya katika kijiji cha Gidas kwa lengo la kuwawezesha wananchi kupata tiba.
Hata hivyo kikao hicho maalum cha mipango kilivurugika baada ya madiwani hao kupinga kupitishwa kwa bajeti hiyo ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Gidas na kutaka fedha zipelekwe kata ya Galapo kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya na yenye idadi kubwa ya wakazi wanaofikia 20,000.

BARAZA LA MADIWANI BABATI LIMEVURUGIKA KUPINGA BAJETI.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 05, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment