Aliyekuwa Mgombea wa Udiwani Kata ya Mjini Kati,kupitia chama cha Chadema mwaka 2015 Bwana Self Salumu Simba ,Ametangaza kujiunga na ccm baada ya kukihama cha cha chadema akidai kuwa ni kumuunga mkono rais John Magufuli
Simba Ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chadema na baadae kuhamia ccm kabla ya kujiunga na chadema na Leo ametangaza tena kurejea ccm anatazamwa kama mwanasiasa asiyeaminika mwenye uchu na siasa za kupenda madaraka.
Simba amefikia uamuzi huo Kwa madai ya kusukumwa na utendaji kazi wa mfumo wa Rais Magufuli na kwamba ameahidi kutohama Tena.
Aliyekuwa Mgombea Wa CHADEMA mwaka 2015 ahamia CCM
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 22, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment