Makamu wa Rais wa chama
cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Godwin Ngwilimi amemtaka Jaji Mkuu wa
Tanzania pamoja na watendaji wote wa sheria kuiheshimu mahakama kwani ni sehemu
ambayo ukienda mwishowe haki inapatikana.
Akizungumza leo wakati alipokuwa
kwenye maadhimisho ya wiki ya sheria ambapo ameonya mahakama zisitumike kuonea
watu wengine huku akikazia kuwa mahakama haipaswi kuwa sehemu ya majaribio
kwani siyo maabara.
"Msiruhusu hata mara moja kwani
mnalindwa na Katiba. Msimamie hayo ili mahakama isiendelee kuonekana sehemu ya
mchezo mchezo. Maisha ya jamii ni mapana kuliko migogoro au hata sheria. hivyo
nadiriki usema kwamba siyo lazima maisha ya jamii ni sheria au ni lazima yaishe
kisheria au mahakamani."
Tusichukulie Mahakama kama jumba la
kamari," Wakili Ngwilimi.
Tusichukulie Mahakama kama jumba la kamari
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 01, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment