Makumbusho ya taifa la Tanzania
iliyopo jijini Dar es salaam imeandaa mafunzo ya onesho la chimbuko la binadamu
Afrika yanayotarajiwa kutolewa kesho.
Aidha Prof. Audax ameeleza onesho hilo litafanyika kesho jijini Dar es salaam na litafunguliwa na waziri wa Mali asili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na litahudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.
Katika onesho hilo wananchi pia wataweza kuona mambo mbalimbali ya kale ambayo binadamu wa kwanza aliweza kuyafanya katika nyanja tofauti katika maisha yake.
Watanzania kuoneshwa chimbuko la binadamu
Reviewed by KUSAGANEWS
on
January 22, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment