![]() |
| Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Arusha Bw David Mwakiposa. |
![]() |
| Wadau wa michezo arusha wakiwa wanasikiliza mambo ya msingi baada ya kukutana na uwanjwa wa Shekh Amri Abeid |
![]() |
| Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Arusha Bw David Mwakiposa Aliyevaa tishei ya njano ni afisa utamaduni jiji la arusha |
Akiwa anafungua kikao hicho DAS aliwaambia wanachama kuwa anaamini kero walizonazo si zote zinahitaji fedha. Hivyo akaweleza wawe huru kuzungumza kwa uwazi kwani tunataka kupata mwarobaini ili Arusha ndani ya muda fupi ianze kupaa ktk medani ya michezno kitaifa na kimataifa kwani hili ni jiji la kimataifa.. Kikao hicho kilidumu kwa masaa karibu manne.
Ajenda kuu ilikuwa kujadili AFC ilikotoka ilipo sasa na inakokwenda. Ubadhirifu, ubabaishaji, kuendekeza siasa na fitina vimetajwa kuwa moja ya vikwazo vikubwa kwa kufanikiwa kwa timu hii.
Wapenzi wa mpira na wanachama wameonyesha furaha isiyo kifani na kushukuru sana Setikali kwa kuwathamini na kunuia kufufua Michezo Arusha.
Akizungumza wakati wa kufunga Kikao hicho Katibu Tawala huyo aliwaambia wanachama na wapenzi kuwa jukumu la kwanza lililo mbele yatu ni kuisafisha timu dhidi ya matope ya ufisadi ili iweze kuamainika tena. Wakae chini walete mapendekezo jumatatu ili Serikali ianze kufanyia kazi haraka Sana.
Hata hivyo amewaonya kuwa kiongozi yeyote atakayeelekea kuwa mbadhirifu afahamu kuwa mkono wa serikali utamfikia na hatabaki salama.
Aliwaeleza wajumbe kuwa haiwezekani Tanga, Mbeya ambazo hazina wadau wengi wala potentials wengi ukilinganisha na Arusha iwe na timu zinazoshiriki ligi Kuu lakini Arusha timu zote nne yaani MADINI,PEPSI,AFC&OLJORO ziwe daraja la nne. Hili halikubaliki mbinguni wala.duniani.
Akakawaambia pia kuwa wasitegemee kuchangisha michango kwa wadau wkati wao wenye timu hawajatoa hata shs kumi ndipo ikaanza "toa ndugu toa ukichonacho" ilifanyika harambee hapo na zikaptikana Cash zaidi ya 150,000, dola za kimarekani na.ahadi zaidi laki nane.
Wanachama wamekubaliana week ijayo wakutane wadau wengi kuvhangishana kabla
AFC ARUSHA YAANZA KUPAA.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 08, 2016
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 08, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment