SAFARI YA GERRARD KWENDA MAREKANI YAIVA..

 Steven Gerrard akishangilia baada ya kufunga goli katika ushindi wa Liverpool wa mabao 3-2 dhidi ya Tottenham jumanne iliyopita

Steven Gerrard atakutana na mabosi wa LA Galaxy kwa mara ya kwanza wiki hii.


Nahodha huyo wa Liverpool anayeondoka Anfield anakutana na mabos
i hao ana kwa ana kuzungumzia suala lake la kujiunga na klabu hiyo ya Marekani mwezi julai mwaka huu.
SAFARI YA GERRARD KWENDA MAREKANI YAIVA.. SAFARI YA GERRARD KWENDA MAREKANI YAIVA.. Reviewed by KUSAGANEWS on June 15, 2015 Rating: 5

No comments: