Watu wanne wamekufa na wengine tisa
kujeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kupamba moto nchini Burundi
kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa
tatu.
Siku ya jumanne Mahakama ya Katiba ilikubali kuwa Rais Nkurunziza anaweza kugombea urais ambapo ilisema ni halali yeye kuwania tena urais kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Katika hotuba yake siku ya jumatano Rais Nkurunziza alisema kama atachaguliwa tena kuongoza nchi hiyo, muhula huu utakuwa wa mwisho kwake kuwa madarakani.
Wanne wafa katika maandamano Burundi
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 08, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment