ooooooh jamani msameheni hapana apigwe tuuuu ndo ilivyo utafanyaje
Hii ndiyo Tanzania yetu ambayo tunategemea kuongozwa na wabunge kila wakati ngumi na mateke je mwisho wa haya ni upi mbona watanzania hatuishi kama wazalend?Tanzania uchama umetokana na nini?
Udini je?
Ukatili wa kuua ndugu zetu mmefumbia macho nn mwisho wa haya?
Viongozi mnaojiita majina mazuri mazuri mbele ya wananchi bila kutetea haki zao mnaa misaada gani sasa mnataka Tanzania iweje?
Pesa ya Tanzania haina dhamani tena lakini wanaosababisha haya yote ni nyie kuhujumu taifa letu la Tanzania kwa kujilimbikizia mali watoto wenu wanasoma ulaya na mtoto wa maskini hata kiti cha kukalia akiwa shule hakuna.
Na tunapoelekea uchaguzi ndiyo maneno matamu mnaanza kuwadanganya Wananchi kwamba maendeleo mtafanya sasa mlishindwa kufanya ahadi mlizo ahidi kabla wakati mkiwa kwenye uongozi mnatuambia nini sasa.?
siwezi kubali haya mambo ya uongo hatutaki uchama sasa kama CCM,CHADEMA,CUF,TLP,MCT NA VINGINE ILA WANANCHI WANACHOTAKA NI HAKI NA MAENDELEO WACHENI UONGO
VYAMA NI KWA AJILI YA MASLAHI YA WATU WENYE MATUMBO MAKUBWA
WABUNGE MLITUMWA NA WANANCHI DODOMA KWENDA KUTETEA HAKI ZETU SIYO KUJIFUNZA MIELEKA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 12, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment