KWANI UKIPIGWA NDO KUFUNZWA ADABU AMA KUONGEZEANA MAUMIVU?


Huyu ni mwananchi anyepigwa kama ngoma iliyoko kwenye mdumange je itapasuka?
Je?maskini huyu nini kafanya na hata kama anakosa ni kupgwaaa tuuu ndo polisi mpate raha angekuwa nduguyo ungempiga?
    apigweeeeeeeeeeeeeeee.....


 Hii ndiyo Tanzania yetu ambayo tunategemea kuongozwa na wabunge kila wakati ngumi na mateke je mwisho wa haya ni upi mbona watanzania hatuishi kama wazalendo
Tanzania uchama umetokana na nini?
Udini je?
 Ukatili wa kuua ndugu zetu mmefumbia macho nn mwisho wa haya?
Viongozi mnaojiita majina mazuri mazuri mbele ya wananchi bila kutetea haki zao mnaa misaada gani sasa mnataka Tanzania iweje?


Pesa ya Tanzania haina dhamani tena lakini wanaosababisha haya yote ni nyie kuhujumu taifa letu la Tanzania kwa kujilimbikizia mali watoto wenu wanasoma ulaya na mtoto wa maskini hata kiti cha kukalia akiwa shule hakuna.


Na tunapoelekea uchaguzi ndiyo maneno matamu mnaanza kuwadanganya mtafanya sasa mlishindwa kufanya ahadi mlizo ahidi kabla wakati mkiwa kwenye uongozi mnatuambia nini sasa.?
siwezi kubali haya mambo ya uongo hatutaki CCM,CHADEMA,CUF,TLP,MCT ILA WANANCHI WANACHOTAKA NI HAKI NA MAENDELEO WACHENI UONGO
VyAMA NI KWA AJILI YA MASLAHI YA WATU WENYE MATUMBO MAKUBWA


Je ni mieleka mlienda kufanya mazoezi?mbona mnajiabisha wabunge na kujishushia hadhi?
sasa wananchi tunataka maendeleo sasa nyie ni ndondi tu sasa mnahisi kwamba wananchi wanavyowatazama kesho unaenda jimbon kwako utamwambia nini mwananchi?


WAPIGWE TUU

HII HAKI IKO WAPI SASA SHERIA IMEFUMBA MACHO MBELE HATUONI NYUMA NDO HATUKUMBUKI.
KWANI UKIPIGWA NDO KUFUNZWA ADABU AMA KUONGEZEANA MAUMIVU? KWANI UKIPIGWA NDO KUFUNZWA ADABU AMA KUONGEZEANA MAUMIVU? Reviewed by KUSAGANEWS on May 12, 2015 Rating: 5

No comments: