Wananchi wa Mkoani Tanga Wilaya ya Lushoto Jimbo la Mlalo katika vijiji vya Kinko,Shume, Manolo,Nkundei,Mziragembei,Mnadani,Ndabwa na vingine vingi ambavyo kiongozi wake ni Mbunge wa jimbo la Mlalo BW:HASSAN NGWILIZI ambaye alikuwa Brigedia katika visiwa vya ushelisheli.
Jamii hizi zinalia machozi ya uchungu kutokana na mambo ulioahidi na hukuweza kutekeleza hata theluthi ya ahadi zako na ikumbukwe kwamba Wilaya ya Lushoto katika jimbo la Mlalo ndiyo kunalimwa aina zote za mazao. matunda,mbogamboga,viazi, Dar es salaam hutegemea jimbo hili la mlalo lakini je Ngwilizi nini umekifanya zaidi ya kujilimbikizia mali kwa kuwa na MAGOROFA Makubwa kila mahali na wanaofaidi eneo lile ni wageni tu kwasababu wananchi hawa hawana soko wananyanyasika kwa ulanguzi wa madalali.
Mwaka 2007 Katika Shule ya msingi Kinko waziri wa nishati na madini alikuwa Mh IMBRAHINU MSABAHA sherehe na vifijo vilikuwepo na watu walikula na kusaza kwa kufurahia pilau kwa kuzindua mradi wa Umeme ambao ulihusisha Mashirika mbalimbali kama TATEDO,UNIDO na umeme huu uliwaka kwa siku mbili mkaleta computa kumi na mbili na TV ya kijiji ambayo wananchi walikuwa wanaitazama katika shule ya msingi Kinko lakini umeme huu ulikatika gafla tu bila maelezo na katika kituo kile kinachozalisaha nguvu ya umeme ule wa MAJI wakaweka walinzi wawili wa kulinda ambako alikuwa ni Stephano Kisaka na Baraka Shedafa tukashukuru ajira zimepatiakana lakini ndoto za ajira hizi zikakatiaka gafla
Miezi ikaendelea lakini chakushangaza kipindi kile klila mtu hakuwa anatambua nini lengo haswa la umemeule wamaji KIJIJINI KINKO kadri siku zilivyoendelea baadhi ya viongozi akiwepo aliyekuwa mtendaji wa kijiji Bw Sejoho alisema kwamba mradi ule katika eneo lile la chanzo cha umeme almarufu kama Ndandiro kulikuwa na madini na kumbukeni zile baruti mlikuwa mnapiga mpaka wananchi kukosa amani wakitarajia umeme wakudumu kumbe kilikuwa ni kiini macho tu ili mpate madini.
Ok lengo lilitimia na madini mkaibuka nayo vizuri kwasababu hakukua na wasomi kipindi kile sasa leo tumeyatambua haya yote kutokana na ukweli niliyokuwa nautafuta siku nyingi sana leo nimeupata
Mh Ngulizi siku ziliendelea kusonga uliongoza jimbo la mlalo inatimia miaka kumi sasa katika kiti cha Ubunge lakushangaza na kusikitisha hakuna siku ulitoa hoja yeyote ile kuhusiana na matatizo na taabu walionao wananchi wa Jimbo la Mlalo lakini miundombinu hakuna wanajamii wanazalisha mazao na yanaozea shambani sababu ya miundombinu hakuna Barabara ya kutoka Lushoto pale lami ilipoishi ndiyo hapohapo kuanzia pale KWESIMU kwenda Magamba ,Kandee Kampa,kupita Ndabwa kwenda Lukozi,Makose,Mlalo,Viti,Tiku,Kinko na maeneo mengi hakuna barabara yeyote imara.
Huduma mbovu mno hakuna hospitali Maji,zaidi ya sipitali moja ya kata inayotegemewa na maeneo yote hayo iliyopo MALINDI tena si wewe ulijenga ila waliojenga ni jasho za wananchi
Sasa nini umekifanya Mh Ngwilizi wananchi wanachojivunia kwamba watakukumbuka zaidi ya kuwapa watu pesa kipindi cha uchaguzi 2010 akina KHOIKHOI na kuwanunulia pikipiki , kuwajengea Nyumba na kutembea kila eneo kila mwananchi alikuwa anapewa sh 5000 Ili ampigie Ngwilizi kura?Sasa wananchi wa jimbo la Mlalo nini tunafanya?
Miaka 10 leo umefikisha kama mbunge nini umefanya?Maendeleo tuliyoyataka yakowapi?
Nyuma alikuwepo Mbunge anaitwa Kagonji amabaye alifanya maendeleo kama kuboresha barabara zote kwa kiwango cha moram na kuleta umeme,maji,sasa Mh Ngwilizi haya ya KAGONJI uliyakuta sasa lipi lako jipya?
Mh mwaka 2009 kabla ya uchaguzi wa ubunge nikiwa shule ya sekondari Lukozi wanafunzi waliletewa Kenta nzima ya matunda aina ya machungwa eti wanafunzi wamchague Ngwilizi duuuuu ama kweli haki haitendeki pesa ziko wapi utaniambia kipindi chote hicho hakukuwa na pesa?
Inaniuma sana tena mno nikiangalia wazazi wetu wa jimbo la mlalo na umasikini tulionao na vitendea kazi tunavyo.
Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi,MB (MLALO) Hivi anahabari kwamba mkandarasi wa barabara ya Kitivo- tewe anatengeneza barabara hiyo kwa viwangovya chini kabisa? Barabara hii imekuwa ikitengewa fedha kila wakati lakini hakuna kinachomalizika kwa viwango.
Kwanza njia yenyewe ilianza kutenegeneza kwa Nguvu ya Wananchi kwa Majembe lakini hata baada ya serikali kuanza kuweka mkandarasi tofauti ya Jembe la Mkono na machine hazionekani! Kuna Kona mabazo zinatakiwa kuingizwa katika maajabu ya Dunia,maana ni Kona ambazo ni za hatari,hakuna calvati hata moja, na kalvati walio lotengeneza yote yamesombwa na maji ndani ya miezi miwili.
Tafadhali huyu mzee awajibike katika eneo lake ili angalau apate Heshima kwa wakazi wa eneo hili na fedha ya wavuja jasho isipotee bure,Ukizingatia msimu huu kama anaangalia alama za nyakati 2015 asigombee tena!
Inaendeleaaaaaaaaaaaaa.......................................

JE NINI HATIMA YA JIMBO LA MLALO WILAYANI LUSHOTO?
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 12, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment