.Waliotekeleza Shambulizi watajwa




 Raia wa Kenya Mohamed Kuno kwa jina jingine Mohamed Dulyadin,atajwa kuwa ndiye mshukiwa mkuu.
Serikali ya Kenya imetoa ruzuku ya shilingi milioni 20 za Kenya yaani dola $215,000 za kimarekani.
Kuno aliwahi kuwa mwalimu katika eneo la Garissa kabla ya kustaafu na kujiunga na kundi hilo.
Mwengine aliyetajwa ni wakili Abdirahim Abdullahi aliyeongoza uvamizi huo.

Wanafunzi walionusurika Rais Uhuru Kenyatta aonya kuwa wale wanaoendeleza sera za Al Shabaab wako miongoni mwa wakenya.
.Waliotekeleza Shambulizi watajwa .Waliotekeleza Shambulizi watajwa Reviewed by KUSAGANEWS on April 11, 2015 Rating: 5

No comments: