Marais wa Marekani na Cuba
wameamkuana kwa mikono na kuzungumza kwa muda mfupi wakati wa kuanza kwa
mkutano wa nchi za Amerika ambayo ni ishara ya uhusiano uliopo kati ya
nchi hizo mbili.
Mapema rais Obama alisema kuwa Marekani inafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati yake na Cuba na ana matumaini kuwa utasaida watu wa Cuba kufanya uamuzi wao siku za usoni.
Obama na Castro wakutana Panama
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 11, 2015
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 11, 2015
Rating:


No comments:
Post a Comment