Wapiga kura nchini Nigeria watapiga kura leo kuchagua magavana wa majimbo pamoja na wabunge.
Chama
cha APC kinatarajiwa kupata ushindi mkubwa baaada ya mgombea wake wa
urais Muhammadu Buhari kumshinda rais Goodluck Jonathan wiki mbili
zilizopita.Hata hivyo chama cha bwana Jonathan cha PDP kinatarajiwa kupata ushindi kwenye maeneo mawili likiwemo eneo la Lagos ambalo huchangia theluthi moja ya uchumi wa Nigeria pamoja na jimbo lenye utajiri wa mafuta la Rivers.
Usalama unatarajiwa kuwa wa juu kutokana na hofu ya mashambulizi kutoka kwa kundi la Boko Haram.
Nigeria kuchaguwa magavana na wabunge
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 11, 2015
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 11, 2015
Rating:


No comments:
Post a Comment