Mwanafunzi mmoja amefariki na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa baada ya kukanyagana katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya.
Walitoroka vyumba vyao vya kulala huku wengine wakiruka kutoka madirishani.
Siku kumi zilizopita watu 148 waliuawa katika shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji wa alshabaab katika chuo kimoja nchini Kenya
Hofu ya shambulizi yazua mauti Kenya
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 11, 2015
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 11, 2015
Rating:


No comments:
Post a Comment