Baada ya kusuasua kiuendeshaji ,hatimaye wakaa wa ufundi na Umeme Tanzania (TENESA ), imetangaza kubadili mfumo wa utekelezaji wa majukumu yake kwa kushirikiana na sekta ya umma na binafsi kupitia ubia (PPP)
Kutokana na mabadiliko hayo,Temesa imewaita wawekezaji wa sekta binafsi kutoka ndani na nje ya nchi kuwasiisha mapendekezo ya ushirikiano huo katika huduma za vivuko , karakana za ufundi magari na ufundi umeme .
Kwa mujibu wa taarifa za Temesa , wakala unakuja na mpango huo ikiwa ni miezi mitatu tangu Mwananchi ilirioti mfululizo wa ripoti maalumu zinazoonyesha wakala huo kuelemewa na majukumu ,kuathiriwa na mifumo na hata kujikuta ikiangukia katika madeni .
TEMESA YAZIITA SEKTA BINAFSI UWEKEZAJI VIVUKO UTENGENEZAJI MAGARI.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment