MTIHANI MWINGINE KWA AZAM LIGI KUU LEO .











Baada ya sare mbili tasa za michezo ya Ligi kuu Tanzania Bara Klabu ya Azam leo inashuka uwanjani dhidi ya wenyeji  KMC  kwenye uwanja wa KMC  Complex ,Dar es Salaam  katika mchezo pekee wa ligi hiyo .


Azam ilitoka suluhu dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kwenye uwanja wa Mej Jenerali Isamuyo Agosti 28 kabla ya suluhu nyingine dhidi  ya Pamba  kwenye uwanja wa Azam Complex Setemba 14

MTIHANI MWINGINE KWA AZAM LIGI KUU LEO . MTIHANI MWINGINE KWA AZAM LIGI KUU LEO . Reviewed by KUSAGANEWS on September 19, 2024 Rating: 5

No comments: