MBOWE ,LISSU WAWASILI MIKOCHENI KUHUDHURIA KIKAO KAMATI KUU CHADEMA











 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA )  Taifa ,Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Bara ,Tundu Lissu wakiwasili makao makuu ya Chama hicho, Mikocheni jijini Dar es Salaam leo  Jumanne Septemba 17,2024.


Miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa  kwenye kikao cha Kamati kuu Chadema cha Septemba  17 hadi18 ,2024 ni hali ya Usalama wa nchi . 


Kikao hicho pia ,kinatarajia kufanya  usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika kanda za Pwani ,Kusini ,na Pemba .

MBOWE ,LISSU WAWASILI MIKOCHENI KUHUDHURIA KIKAO KAMATI KUU CHADEMA MBOWE ,LISSU WAWASILI MIKOCHENI KUHUDHURIA  KIKAO KAMATI KUU CHADEMA Reviewed by KUSAGANEWS on September 17, 2024 Rating: 5

No comments: