Miongoni mwa matukio yaiyosherehesha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi nchini ,ni gwaride la watoto walivalia sare malumu kwa ukakamavu wakipita mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan na kutoa heshima .
Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania(TPS) zamani CCP ,Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
GWARIDE LA WATOTO LILIVYOMKOSHA RAIS SAMIA MAADHIMISHO MIAKA 60 YA JESHI A POLISI .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 17, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 17, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment