HANAN BAFAGH WABADILISHANA VITUO VYA KAZI NA HEMEDI MAGARO .








 Katika uteuzi uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan jana Jumatatu September 2,2024 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ,Hanan Bafagh amebadilishana kituo cha kazi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Hemed Magaro.


Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa,' Hanan Bafagh amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya  Kilwa kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti na Hemed Magaro amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kwenda kiuwa  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa '

HANAN BAFAGH WABADILISHANA VITUO VYA KAZI NA HEMEDI MAGARO . HANAN BAFAGH WABADILISHANA VITUO VYA KAZI NA HEMEDI MAGARO . Reviewed by KUSAGANEWS on September 03, 2024 Rating: 5

No comments: