Azam FC leo Septemba 3,2024 kutangaza rasmi kumuondoa kocha Youssouph Dabo na kuvunja benchi la ufundi la timu hiyo.
Taarifa hii ikielezwa kuwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.
'Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC na Kocha ,Youssouph Dabo,wamefikia makubaliano ya pande mbili ya kutoendelea kufanya kazi pamoja kuanzia leo ,Septemba 3,2024
AZAM FC KUMUONDOA DABO RASMI .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 03, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 03, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment