AMIRI JESHI MKUU AKIKAGUA GWARIDE LA POLISI.











Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais  Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi  Tanzania yanayofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS)  Moshi Kilimanjaro leo Septemba 17, 2024 


Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ni 'Huduma bora za kipolisi kwa Umma zitapatikana kwa kubadilika kifikra ,usimamizi wa sheria na matumizi ya TEHAMA ' 

AMIRI JESHI MKUU AKIKAGUA GWARIDE LA POLISI. AMIRI JESHI MKUU AKIKAGUA GWARIDE LA POLISI. Reviewed by KUSAGANEWS on September 17, 2024 Rating: 5

No comments: