POLISI KUZUIA MIKUTANO YA CCM NGORONGORO.








 Jeshi la Polisi Wilaya ya Ngorongoro limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika Wilayani huko kwanzia Agosti 29,2024 hadi September 15,2024 ikiongozwa na Katibu wa NEC  -Siasa ,Itikadi,Uenezi CCM Taifa ,Amos Makalla.


Barua kutoka  Ofisi ya Mkuu wa Polisi (OCD) Ngorongoro iliyojibu maombi ya CCM imesema 'kutokana na shughuri za kuimarisha usalama zinazoendelea katika maeneo  mliyoomba kufanyia mikutano tunawajulisha kuwa tumesitisha mikutano ,mikusanyiko ya watu katika maeneo hayo hadi hapo tutakapoelekeza vinginevyo.

POLISI KUZUIA MIKUTANO YA CCM NGORONGORO. POLISI KUZUIA MIKUTANO YA  CCM NGORONGORO. Reviewed by KUSAGANEWS on August 28, 2024 Rating: 5

No comments: