Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
akipokea kamera maalum (Drons) kutoka kwa Mwakilishi wa kampuni ya Kifaru
Ifigenia Anselmi walipokutana Makao Makuu ya Polisi ambapo kampuni hiyo imetoa
kamera tatu kwa ajili ya kusaidia mapambano ya uhalifu hapa nchini (Picha na
Jeshi la Polisi).
IGP APOKEA KAMERA MAALUM KUSAIDIA MAPAMBANO YA UHALIFU
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 10, 2018
Rating: 5
No comments:
Post a Comment