VIDEO:MWANDISHI WA HABARI ARUSHA AELEZA ALIVYOTEKWA NA WATU 5 AMTAJA AFISA WA SERIKALI

Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha Kimelaani kitendo cha kutekwa mwandishi wa Habari ambaye ni mmiliki wa Blog ya Motives kwa kitendo alichofanyiwa cha kupigwa ,kudhalilishwa ikiwa ni pamoja na kuvuliwa nguo na kupigwa picha za utupu.

Akizungumza na Wandishi wa habari wa mkoa wa Arusha Mwandishi Huyo Lukas Myovela amesema kuwa Watu hao licha ya kumfanyia vitendo hivyo vya Udhalilishaji pia Walimnyang'anya simu,kadi za benki,na wakamlazimisha kutoa password wakajihamishia pesa kwenye simu zao na kisha wakampeleka central police wakidai kuwa ni mwizi.



VIDEO:MWANDISHI WA HABARI ARUSHA AELEZA ALIVYOTEKWA NA WATU 5 AMTAJA AFISA WA SERIKALI VIDEO:MWANDISHI WA HABARI ARUSHA AELEZA ALIVYOTEKWA NA WATU 5 AMTAJA AFISA WA SERIKALI Reviewed by KUSAGANEWS on May 14, 2018 Rating: 5

No comments: