Kamati ya Bunge ya Uganda Yamwagia Sifa Mradi wa DMDP


NaibuWaziri OR-TAMISEMI Mhe. JosephatKandegeakifurahiajambowakatiwakikao cha MapokeziyaKamatiya Bunge yaHesabuzaSerikalizaMitaa.


MwenyekitiwaKamatiya Bunge yaHesabuzaSerikalizaMitaatoka Uganda (PAC-LG) Mhe. Ronald Reagan Okumu (kulia) akiwanamjumbewaKamatihiyotoka Uganda wakifuatiliakikaonaNaibuWaziriwaTamisemi(hayupopichani) Mhe. JoasephatKandege.
NaibuWaziri OR-TAMISEMI Mhe. JosephatKandegeakifurahiajambowakatiwakikao cha MapokeziyaKamatiya Bunge yaHesabuzaSerikalizaMitaa
 WataalamwanaosimiaMiradiyaBenkiyaDunia OR-TAMISEMI pamojanaKamatiya Bunge yahesabuzaSerikalizaMitaatoka Uganda wakimskilizamtaalamuwamaabarayamradiwa DMDP
  WataalamwanaosimiaMiradiyaBenkiyaDunia OR-TAMISEMI pamojanaKamatiya Bunge yahesabuzaSerikalizaMitaatoka Uganda wakimskilizamtaalamuwamaabarayamradiwa DMDP






Kamati ya bunge ya hesabu za Serikaliza Mitaa kutokaNchini Uganda(PAC-LG) imemwagia sifa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam unaoendelea kutekelezwa katika Manispaa ya Tano za Mkoa wa Dar es salaam.

Kamati hiyo yenye zaidi ya wajumbe kumi wa liotembelea Mradi wa DMDP unaotekelezwa chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wamesema ni mradi wa mfano na kuigwana Nchi za Afrika Mashariki zinazopata mkopo wa fedha kutoka Benki ya Dunia.

AkizungumzakatikaziarahiyoyamafunzoMwenyekitiwaKamatihiyo (PAC-LG)Mhe. Ronald Reagan Okumuamesemalengo la ziarayaonikuonanamnaambavyomiradiyaUboreshajiMiundombinuinayotekelezwakwafedhazaMkopotokaBenkiyaDunia;
“Tunapendakuonauborawamiradihiyo, taratibuzaulipajifidiazilivyofuata, maelekezoyamkopowafedhahizoyalivyozingatiwanazaidinamnaambavyofedhazilivyopokelewa, zinavyosimamiwanawataalamu, zinavyotumikanazinafanyiwaukaguzinazaidisualazima la thamaniyafedha”Value for Money” kuonekanakatikamiradihiyo” alisemaMhe. Okumu.
Akipokeaujumbehuotoka Bunge la Uganda NaibuWaziriOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. JosephatKandegeamesemamradihuuumetekelezwakwakipindi cha miaka mitatu sasa na mafanikio yaliyopatika nanimakubwa nakwakiasikikubwaumesaidiakuwapunguziakerowananchiwaMkoawa Dar es salaam.
“Karibumjifunzekwakuonamtaonabarabarazilivyojengwakwauborawahaliyajuu, njiaza bora waendakwamiguu, miferejiyenyeviwangoyakusafirishiamajiyamvua, masokonaofisizamiradipamojanamaabarazakisasazakupimauborawabarabarazinazoendeleakujengwa“ alisemaKandege.
AkielezeaMiradiinayotekelezwachiniyafedhazaMkopowaBenkiyaDuniaMratibuwaMiradihiyotokaOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaEng. Davis Shemangaleamesemakuwamradihuuunatekelezwakwakipindicha miakamitanonaunalengo lakuboreshaJiji la Dar es salaam lizidikuwa bora katikaSektayamiundombinu, usafirimjinipamojanausalama
Eng. Shemangalealiongezakuwamradihuopiautaboreshamakazi bora sambambanakujengauwezowaKitaasisipamojanamifumostahikinayakutoshakutunzakumbukumbunatakwimuitakayosaidiakatikaUkusanyajiwamapato.
NayemratibuwamradiwauendelezajiwaJiji la Dar es salaam (DMDP) Eng. Emmanuel NdyamukamaamesemaKatikaawamuya kwanza yamradihuuitagharimujumlayaDolazaKimarekaniMilioni 300 ambazoniFedhazaMkopokutokaBenkiyaDunia. AidhaShirika la maendeleo la Nchiza Nordic litatoaruzukuyadolazakimarekani Mil.TanokwaajiliyakukabilichangamotozamabadilikoyaTabiayaNchinahukuSerikaliya Tanzania ikichangiatakribaniDolazaKimarekani  Mil. 25.3 kwaajiliyakulipafidiawananchiwalioathirikanamradi.
Kamatiya Bunge yahesabuzaSerikalizaMitaaikokatikaziarayamafunzokwamudawasikuTanonaitatemebelamiradiyauendelezajiwaJiji la Dar es salaam (DMDP), Mabasiyaendayoharaka (BRT) kasha kuelekeakatikaManispaayaMorogoroambakowatatembeleamradiwauboreshajinauimarishajiwaMamlakazaMiji (ULGSP) kasha kumalizianaJiji la Dodoma ambakowatajionemradiwaUboreshajiMijiKimkakati (TSCP).
Kamati ya Bunge ya Uganda Yamwagia Sifa Mradi wa DMDP Kamati ya Bunge ya Uganda Yamwagia Sifa Mradi wa DMDP Reviewed by KUSAGANEWS on May 15, 2018 Rating: 5

No comments: