Benki kuu ya Zimbabwe imeagiza
karibu dola milioni 400 pesa taslimu katika kipindi cha miezi minne iliyopita
kufuatia uhaba wa pesa nchini humo.
Gavana wa wa Benki Kuu, John Mangudya,
amesema foleni kwenye mabenki zinatarajiwa kupungua katika kipindi cha miezi
miwili ijayo huku mapato ya kitaifa yakitarajiwa kuimarika kutokana na mauzo ya
tumbaku na dhahabu.
Zimbabwe imekuwa ikikumbwa na uhaba
wa pesa tangu mwaka wa 2016 ikichangiwa na gharama ya juu za uendeshaji wa
serikali.
Benki Kuu yaagiza mamilioni ya Dola
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 13, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment