OPERESHENI LIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KABLA YA TAREHE 30 APRILI KUEPUKA KUPELEKWA MAHAKAMANI YARINDIMA KANDA YA KASKAZINI

Ofisa Mwandamizi wa Ardhi kutoka Kanda ya Kaskazini; Bwn. Thadeus Riziki akitoa Elimu ya ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wakati katika eneo la Sakina kwa Iddi, Jijini Arusha
Wananchi wakisikiliza elimu ya kulipa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wakati kutoka timu ya Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Halmashauri na Ofisi ya Kanda ya Ardhi ya Kaskazini katika eneo la Kilombero, Jijini Arusha
Bwn. Juma Muhando, mwananchi wa eneo la Osunyai, akiuliza swali kwa Ofisa Ardhi Mwandamizi wakati wa utoaji elimu ya ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi katika eneo la Kilombero, Jijini Arusha
Wananchi wakipokea Vipeperushi vinavyoonyesha  ulipaji wa Kodi ya pango la Ardhi Kielektroniki kwa mfumo wa GEPG katika eneo la Mbezi Dampo, jijini Arusha
  
Na Mboza Lwandiko – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi




OPERESHENI LIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KABLA YA TAREHE 30 APRILI KUEPUKA KUPELEKWA MAHAKAMANI YARINDIMA KANDA YA KASKAZINI OPERESHENI LIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KABLA YA TAREHE 30 APRILI KUEPUKA KUPELEKWA MAHAKAMANI YARINDIMA KANDA YA KASKAZINI Reviewed by KUSAGANEWS on April 23, 2018 Rating: 5

No comments: