Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo (Mb), alipokuwa akizundua mnara wa kuenzi uzalendo wa Mhe.Rais wa awamu ya tano wa Tanzania katika chuo cha Hombolo
Na AtleyKuni OR
TAMISEMI
WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe.
SelemaniJafoamesemakuanzakwakozizangaziyaShahadakatika Chuo cha
SerikalizaMitaaHombolokisiwekigezo cha kuondoshakozizaAstashahadanaStashahadakatikachuohicho.
Kikundi cha Ngoma za asilicha Swala kinachopatikana katika Kijiji cha Nkoyo, Hombolo ambacho ni maarufu katika mkoa wa Dodoma hususan kudumisha utamaduni wa mtanzani |
Hapa ndipo Magufuli Square, Sehemu iliyojengwa mahusus kwaajili yakuenzi uzalendo wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa vitendo |
Bodi ya Chuo cha Hombolo iliyo maliza muda wake wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mnara wa fikra za kizalendo za Mhe. Rais Maguful |
WaziriJafoalikuwaakizunduarasmiBustaniya
MagufulikatikachuohichoambapoBustanihiyoitatumikakuishinakuenzimchangowakiongozihuyowaNchikwasasaambaoniuzalendo,
kujitumapamojanauadilifukatikakuwatumikiawananchi.
“NimesikiamaombiyenuyakutakaKuanzishwakwakozizaNgaziyaShahadakusudimtuanapohitimumasomoyakeyangazizaawaliawezekuendelea,
naombaniwambie, tutajitahidilifanikiwe, lakiniangalizolangukwenu,
tutakapoanzisha Degree
isiwesababuyakusitishakozizinazoendeleakwasasa, ikiwepoAstashahada
(Certificate) naStashahada (Diploma) yakozimnazoendeleanazo” amesemaJafo.
WaziriJafoamesema,
vyuovingivilipoanzishangaziyaShahadanakusahauwataalamwakadazakativilichocheakukosekanakwawataalamwakutoshakatikangaziyakatihususanmafundimchundoambaowalikuwawakizalishwakatikavyuohivyo.
KatikahatuanyingineWaziriJafoamewahakikishiaWakurufunzihaowachuo
cha HombolouhakikawakuajiriwanaSerikalikwa wale
watakaofikiavigezovinavyohitajikakatikanafasimbalimbaliambazoserikaliitatangaza.
“TumebainiWataalamwachuo
cha Hombolo tunaowaajirikatikakadazaMaafisaWatendajiwaVijiji, Kata
nahataTarafawanauelewampanawaMasualayajamiizawatanzaniahususanni wale
waishiovijijini, hivyobasitunapotangazaajirakipaumbeletutakitoakwa
wanafunziwachuohiki” amesemaWaziriJafo.
Mhe.Jafohakusitakuoneshafurahayakekwajinsichuohichokilivyojizatitikatikasuala
la utunzajiwamazingira, hatuaambayoameitajani
kumuungamkonoMakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. SamiaSuluhu
Hassan ambayekupitiaWizarayaMazingiranaMuunganoamekuwamstariwambelekuhakikishawatanzaniawanantunzamazingira.
MbaliyapongezihizoWaziri
ametoamaelekezokwauongoziwaManispaaya Dodoma
kuanzakampeniyaupandajiwamitiyaMatunda. “Tunataka Dodoma iwe Fruit City”
amenukuliwaWaziri
KwaUpande wake
MwenyekitiwaBodiinayomalizaMuda wake Prof. Suleiman Ngware, yeyealisemalengo la
kujengaBustaniya MagufulinikuungamkonojuhudizaMhe.
Raiskatikakusimamiarasilimalizanchikwamoyouzalendonauadilifuwadhati.
“Mhe.WaziriShabahayakuwanaBustaniyaainahiiyenyeMnarawaMagufulinikutambuamchangomkubwanamoyowakizalendoalionaoRaiswetu,
sasatunachotakaninihapa,
kilamtuatakayeuangaliamnarahuuawezekujitathminimwenyewebilayakusukumwanamtu,
Je! Mimi kamaMkufunzininatimizawajibuwangu? Mimi
kamaMwanafunzinafanyamatendosawanaRaiswangu? Mimi kamaMwenyekitiwaBodi au
MkuuwaShulesifanyimanyanyasokwawatusibaguiwatunk,
nk". AmesemaMwenyekitihuyo.
KilaMwakaifikapoAprili
18, Bodi, Uongozi, WanafunzinaWananchiwanaozungukaeneo la
chuowatakuwawakikutanakwapamojanakujitathminikwamienendonamatendoyaoyautendajiwamwakamzima,
Chuo cha SerikalizaMitaaHombolokwasasakinawanafunzizaidiya 3000.
Astashahada, Stashahada Msizipe Kisogo: WaziriJafo
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 18, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment