Kesi ya kujaribu kujiua inayomkabili Tito Onesmo Machibya maarufu kwa jina la Nabii Tito imeahirishwa tena mpaka Machi 19 mwaka huu.
Awali hakimu anayesikiliza kesi hiyo, James Karayemaha aliagiza mtuhumiwa huyo kuchukuliwa vipimo vya akili yake ili kujua kama ana matatizo ya akili katika taasisi ya magonjwa ya akili ya Isanga mjini Dodoma.
Hata hivyo Nabii Tito hakuweza kufika Mahakamani siku ya leo ambapo kesi yake iliahirishwa na hakimu wa Mahakama ya Wilaya, Mwajuma Lukindo baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo James Karayemaha kutokuwepo mahakamani.
Nabii Tito alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Januari 29 mwaka 2018 na kusomewa mashtaka ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kiwembe kwa nia ya kuyakatisha maisha yake tukio lililotokea Januari 25 mwaka huu akiwa mahabusu.

Kesi ya Nabii Tito yakwama
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 05, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment