Mwanafunzi wa chuo Kikuu
cha Nairobi nchini Kenya amemfungulia mashtaka mfanyakazi wa Bunge la nchi
hiyo, kwa kutaka kumlawiti
Mfanyakazi huyo ambaye jina lake
limehifadhiwa kwa ajili ya usalama wake, ametajwa kutaka kumfanyia kitendo hiko
kiovu mwanafunzi wa kiume, kwenye maeneo ya ofisi za bunge.
Kwenye maelezo yake mwanafunzi huyo
amesema kwamba afisa huyo alimfuata na kumwambia yeye ni Afisa wa Polisi, na
kumchukua mpaka ndani ya majengo ya bunge, na kuanza kumfanyia vitendo hivyo
viovu.
“Aliniafuata na kunikamata
akiniambia yeye ni polis, akanipeleka ndani ya jengo la bunge, na kuanza kugusa
na kuniingiza uum* wake sehemu zangu za nyuma za siri..”, alikuwa akielezea
mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa pia.
Hata hivyo tetesi zinasemekana kuwa
muhanga wa tukio hilo alikubali kufuta kesi mahakamani, baada ya kupewa rushwa
ya shilingi elfu 5 ya Kenya, amabyo ni sawa na shilingi laki moja ya Tanzania.
Source Citizen
Mfanyakazi wa bunge ataka kulawiti
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 26, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 26, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment