Mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo
la Kinondoni, Mtulia Maulid Said amerejesha fomu na kuahidi kufanya makubwa,
Ameyasema hayo hii leo mara baada ya kurejesha fomu, ambapo
amewaahidi wananchi wa Jimbo la Kinondoni kuwa hawezi kuwaangusha.
Aidha, Mtulia ameishukuru Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM
na wanachama kwa ujumla kwa kumteua na kumuamini kugombea nafasi ya ubunge
katika Jimbo hilo.
Mtulia arejesha fomu, aahidi kufanya makubwa Kinondoni
Reviewed by KUSAGANEWS
on
January 20, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment