Apigwa Makonde kisa Kuvaa kitambaa cha Ccm huku Mgombea akinusurika Kipigo Siha

Mwanamke mmoja ajulikane kwa Jina la Janeth Raphael Kisima amedai kushambuliwa wafuasi wanaodaiwa kuwa ni wa Chama Demokasia na Maendeleo Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Lawase wilayani Siha kwa kuvaa kitambaa chenye Alama  ya Chama cha mapinduzi.

Hata hivyo mgombea ubunge  kupitia Ccm Dr Godwin Mollel akizungumza amesema kuwa usiku akiwa anatokea kwenye kampeni wakati wa kurudi nyumbani  vijana wawili wenye rekodi ya ujambazi kutoka kata ya Donyomorwa walimfuata mgombea ili kumshambulia lakini akafanikiwa kuwatoroka.

Juhudi za kumtafuta Kamanda wa jeshi LA Polisi zinaendelea ili kuthibitisha tukio hilo Endelea kutembelea Kusaga News

Apigwa Makonde kisa Kuvaa kitambaa cha Ccm huku Mgombea akinusurika Kipigo Siha Apigwa Makonde kisa Kuvaa kitambaa cha Ccm huku Mgombea akinusurika Kipigo Siha Reviewed by KUSAGANEWS on January 25, 2018 Rating: 5

No comments: