Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
(NACTE) limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo
kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika cheti cha usajili wa vyuo
hivyo, huku likisimamsisha utoaji wa programu zilizokuwa zikitolewa katika vyuo
20 ambazo hazijasajiliwa.
Akizungumza na waandishi wa habari
Dar es Salaam, Kaimu Katibu mtendaji wa NACTE, Dkt. Adolf Rutayuga,
alisema kuwa wamekuwa wakifuatilia vyuo vya ufundi ili kutathmini kama
vinafuata viwango vya ubora wa kitaaluma vilivyowekwa na NACTE katika kutoa
mafunzo.
Katibu huyo amesema kuwa baada ya
kufanya uchunguzi huo, wamebaini vyuo 26 vilishindwa kuzingatia masharti
yaliyowekwa na NACTE katika cheti cha usajili, huku vyuo 20 vikitoa mafunzo
ambayo hayajathibitishwa chini ya idara isiyotambulika,wakati vyuo viwili
vikiwa na vituo vya satellite/Kampasi ambavyo navyo havijathibitishwa na chombo
husika.
NACTE ni bodi iliyoanzishwa kisheria
chini ya Sheria ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi, kifungu cha 129,
kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu ya ufundi na mafunzo nchini
Tanzania. Chini ya sheria hiyo, ili kufikia na kudumisha hali ya mtoa
mafunzo, vyuo vyote vinatakiwa viwe vimesajiliwa, vibali na kuwa mitaala
iliyopitishwa na baraza. Vyuo haviruhusiwi kuanza kutoa kuanza kutoa huduma
yoyote ya mafunzo bila idhini ya baraza.
Hapa chini ni mgwanyo wa vyuo katika
makundi matatu na hatua zilizochokuliwa dhidi ya kila kundi
Jedwali 1: Vyuo vya Ufundi
vilivyofutiwa usajili
S/N
|
CHUO
|
1
|
Institute of Management and
Development Studies – Iringa
|
2
|
Green Hill Institute – Mbeya
|
3
|
Institute of Business and Social
Studies – Mbeya
|
4
|
Loyal College of Africa – Mbeya
|
5
|
Mbeya Training College – Mbeya
|
6
|
Mbengwenya College of Business and
Information Technology –Mbinga
|
7
|
New Focus College – Mbeya
|
8
|
Shukrani International College of
Business and Administration – Mbeya
|
9
|
Majority Teachers College – Mbeya
|
10
|
Rukwa College of Health Sciences –
Sumbawanga
|
11
|
MAM Institute of Education – Mbeya
|
12
|
Belvedere Business and Technology
College – Mwanza
|
13
|
Geita Medical Laboratory Sciences
and Nursing Training College – Geita
|
14
|
Global Community College – Geita
|
15
|
Muleba Academy Institute – Muleba
|
16
|
St. Bernard Health Training
Institute – Katoro, Geita
|
17
|
Victoria Institute of Tourism and
Hotel Management – Mwanza
|
18
|
Gisan Institute of Health Sciences
– Mwanza
|
19
|
Dar es Salaam Institute of
Business Management – Dar es Salaam
|
20
|
SAMFELIS College of Business
Studies – Dar es Salaam
|
21
|
Ellys Institute of Technology –
Bunda, Mara
|
22
|
Tanzania Institute of Chartered
Secretaries and Administrators – Arusha
|
23
|
Emmanuel Community College –
Kibaha
|
24
|
Modern Commercial Institute – Dar
es Salaam
|
25
|
Marian College of Law – Dar es
Salaam
|
Jedwali 2: Vyuo vya Ufundi
vinavyotoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa
S/N
|
CHUO
|
MAFUNZO
|
1
|
MISO Teachers College – Mafinga
|
Competence Building Network (CBN)
– a Certificate in Early Childhood Education
|
2
|
Tusaale Teachers College – Mafinga
|
Competence Building Network (CBN)
– a Certificate in Early Childhood Education
|
3
|
The St. Joseph’s College Institute
of Business and Management (SJCIBM) – Morogoro
|
|
4
|
The Golden Training Institute –
Dar es Salaam
|
|
5
|
Nkrumah Mkoka Teachers College –
Kongwa, Dodoma
|
|
6
|
National Institute of Agriculture
(Chuo cha Kilimo cha Taifa) – Arusha
|
|
7
|
Musoma Utalii Training College –
Musoma
|
|
8
|
Mwanza Polytechnic Institute –
Mwanza
|
|
9
|
Mwanza Polytechnic Institute –
Maswa
|
|
10
|
Ruter Institute of Financial
Management – Mwanza
|
|
11
|
Dar es Salaam Institute of
Journalism and Mass Communication – Mwanza
|
|
12
|
Dar es Salaam Institute of
Journalism and Mass Communication – Geita
|
|
13
|
Dar es Salaam Institute of
Journalism and Mass Communication – Bukoba
|
|
14
|
Singni International Training
Institute – Bukoba
|
|
15
|
Dar es Salaam Institute of
Journalism and Mass Communication – Kahama
|
|
16
|
Dar es Salaam Institute of
Journalism and Mass Communication – Simiyu
|
|
17
|
Richrise Teachers College – Geita
|
|
18
|
Twiga Training Institute – Musoma
|
|
19
|
Zoom Polytechnic Institute –
Bukoba
|
|
20
|
St. Thomas Training College –
Shinyanga
|
Jedwali 3: Vyuo vya Ufundi vyenye
Vituo vya Satellite / Kampasi
S/N
|
CHUO
|
1
|
MISO Teachers College – Mafinga
|
2
|
Rungemba Teachers College –
Mafinga
|
Orodha ya vyuo 26 vilivyofutiwa usajili na NACTE
Reviewed by KUSAGANEWS
on
November 15, 2016
Rating:
No comments:
Post a Comment